Marekani kuanza mazungumzo ya amani ya Sudan bila ya jeshi – DW – 13.08.2024

Mazungumzo hayo ambayo yanafanyika nchini Uswisi yanatarajiwa kuanza kesho Jumatano na huenda yakafanyika kwa siku 10.  Marekani inayaratibu mazungumzo hayo yanayofanyika katika wakati ambapo Umoja wa Mataifa ukionya kwamba taifa hilo limo katika kile ilichokiita “ukingo wa kuporomoka” na maelfu ya vifo ambavyo vingeweza kuzuilika, hivi sasa vinawanyemelea kutokana na mizozo iliyochochewa na vita. Eneo…

Read More

Mastaa Yanga kulamba Sh150 milioni

MOTO waliouwasha Mabingwa mara tatu mfululizo umewaka baada ya kubeba Mamilioni waliyoahidiwa kama wangeichapa Simba na Azam FC katika michuano ya Ngao ya Jamii. Iko hivi, kabla ya mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii mabosi wa Yanga walikiita kikosi chao na kutoa ahadi kama wataifunga Simba watatoa 150 Milioni kama zawadi. Na kama…

Read More

FCC mmechochea ongezeko la viwanda nchini-Waziri Jafo

    WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Seleman Jafo amesema Wizara hiyo ina fursa kubwa kutengeneza ajira kwa Watanzania kupitia sekta binafsi . Amesema Sekta binafsi ni kwenye  viwanda, hivyo watahakikisha wanatimiza azma hiyo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuleta maendeleo kwa wanachi. Waziri  Dk.Jafo aliyasema hayo  Jijini Dar es Salaam, alipotembelea FCC kujitambulisha…

Read More

Kazini kwa Simba msimu huu kuna kazi

KILA nikitazama Kikosi cha Azam FC na kile cha Yanga, nagundua kabisa kazini kwa Simba msimu huu kuna kazi. Ni vigumu sana kujua kama Simba inakwenda mbele au inarudi nyuma. Ni kama mwendo wa kinyonga. Timu haina haraka. Inakwenda hatua tatu mbele na kurudi tano nyuma. Ni Mwendo unaochanganya sana. Klabu kubwa zote duniani, malengo…

Read More