Mbowe, Lissu warejeshwa Dar kwa ulinzi wa polisi

Dar es Salaam.  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimethibitisha kuachiwa huru na kurudishwa jijini Dar es Salaam viongozi wake, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa ulinzi wa polisi. Mbali na Mbowe viongozi wengine waliorudishwa Dar es Salaam ni makamu mwenyekiti wa chama hicho (bara), Tundu Lissu aliyefika nyumbani kwake Tegeta asubuhi kwa…

Read More

“Safari ya kutimiza ndoto yako na programu ya Sanaa inayoishi” kuanzia Tanzania hadi Zimbabwe Novemba 2024

Chama cha Wamiliki wa Landrovers Tanzania kupitia  Mwenyekiti wake Winna Shango imetoa ufadhili kwa ajili ya “Safari ya Barabara ya Kutimiza Ndoto Yako’ na Programu ya Sanaa inayoishi” kutoka Tanzania kwenda Zimbabwe, kusherehekea uteuzi wa Zimbabwe kama Mwenyekiti wa SADC. Kwakupitia progamu hii wanachama 16 na Landrovers zao, kila moja atakuwa na ishara/nembo ya kiwakilishi…

Read More

BILIONI 43 ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA HAI.

IMEELEZWA kuwa zaidi ya shilingi bilioni 43 zimetolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Hayo yameelezwa na Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Wenye Ulemavu na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga katika mkutano wa hadhara…

Read More

Mbowe, Lissu wadaiwa kurejeshwa Dar kwa ulinzi wa polisi

Dar es Salaam.  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimethibitisha kuachiwa huru na kurudishwa jijini Dar es Salaam viongozi wake, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa ulinzi wa polisi. Mbali na Mbowe viongozi wengine waliorudishwa Dar es Salaam ni makamu mwenyekiti wa chama hicho (bara), Tundu Lissu aliyefika nyumbani kwake Tegeta asubuhi kwa…

Read More

TCCIA yataka wadau washiriki mkutano wa Halal kesho

  CHEMBA ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimetoa wito kwa wafanyabiashara kote nchini kushiriki mkutano utakaotoa elimu ya bure kuhusu namna ya kupata cheti cha Halal kwenye bidhaa zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA, Oscar Kisanga, wakati akizungumzia mkutano…

Read More

Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Selemani Jafo ameiagiza Tume ya Ushindani nchini (FCC) kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu mikataba baina ya wawekezaji wazawa na wageni mara baada ya kubaini kuwa makampuni kutoka nje kuingia mikataba kinyume na utaratibu hususani kwenye Sekta ya Madini jambo ambalo linapelekea kuporwa vitalu vyao na mabilioni ya fedha kwenda nje…

Read More

MTAZAMO WA JAMII KWA MWANAUME KUISHI NA MKE BILA KAZI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika jamii zetu za kisasa, mitindo ya maisha na majukumu ya familia yanaendelea kubadilika, lakini baadhi ya dhana za kijinsia zinaendelea kushikilia nguvu kubwa. Moja ya masuala yanayojitokeza ni jinsi mwanaume na mke wanavyokumbana na mitazamo ya kijamii kuhusu ajira na majukumu ya nyumbani. Hali hii inafichua changamoto za kihisia na kijamii zinazokabili familia ambazo…

Read More