FCS yaiomba Serikali kuangazia upatikanaji wa miundombinu ya kidigitali kwa makundi maalum
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Asasi za kiraia nchini, kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), zimeiomba Serikali kuhakikisha makundi maalum, hususan watu wenye ulemavu, wanapatiwa miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki kikamilifu katika michakato ya maendeleo na kujijenga kiuchumi. Ombi hilo lilitolewa na Meneja Programu wa FCS, Nasim Losai, katika mkutano wa…