FBI YACHUNGUZA MADAI YA UDUKUZI WA TAARIFA ZA TRUMP, BIDEN – MWANAHARAKATI MZALENDO

Shirika la upelelezi la Marekani, FBI, linachunguza kile kinachoshukiwa kuwa majaribio ya udukuzi yanayodaiwa kufanywa na Iran, yaliowalenga washauri wa kampeni ya Democratic ya Rais Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris, na mshirika wa mgombea wa chama Republican Donald Trump. Gazeti la Washington Post limeripoti jana kuwa uchunguzi huo wa FBI ulianza mwezi Juni,…

Read More

UKRAINE YAFANIKIWA KUDHIBITI ENEO LA URUSI LA KILOMITA ZA MRABA 1,000 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Vikosi vya Ukraine vimedhibiti kilomita za mraba 1,000 za ardhi ya Urusi katika operesheni kubwa ya kijeshi inayovuka mpaka, ikiwa ni moja ya uvamizi mkubwa zaidi katika miaka miwili na nusu ya vita, alisema Kamanda Mkuu wa Ukraine, Oleksandr Syrskyi. Kamanda Syrskyi alithibitisha kuwa vikosi vya Ukraine vinaendelea na operesheni ya kimkakati katika eneo la…

Read More

HAWA HAPA WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI PFA 2023/24 – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Wachezazji sita kutoka ligi kuu ya England, Bukayo Saka, Cole Palmer, Kobbie Mainoo, Alejandro Garnacho, Joao Pedro na Michael Olise wameteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa Mwaka, PFA kwa msimu wa 2023/24. Nyota wa Arsenal, Bukayo Saka yuko katika kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi mfululizo baada ya kushinda tuzo…

Read More

Maduro ataka ‘mkono wa chuma’ wa serikali kuzima maandamano – DW – 13.08.2024

Rais wa Venezuela Nicholas Maduro ametoa wito kwa taifa kutumia kile alichokiita “mkono wa chuma” baada ya maandamano mabaya kupinga kuchaguliwa kwake tena mwezi Julai, kulikotajwa ndani na nje kama kichekesho. Wakati idadi rasmi ya vifo vya maandamano hayo ikipanda hadi 25, Maduro amehimiza sheria kali kwa vurugu alizolaumu kwa upinzani, ambao unasisitiza kuwa mgombea…

Read More

MTANDAO WA X WATATIZWA NA SHAMBULIO LA DDoS WAKATI WA MAHOJIANO YA TRUMP NA MUSK – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mahojiano kati ya Elon Musk, mmiliki wa X (zamani Twitter), na mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump, yameibua maswali kuhusu uaminifu wa mfumo wa X baada ya matatizo ya kiufundi yaliyosababisha kuchelewa kwa matangazo hayo. Musk alidai kuwa tatizo hilo lilisababishwa na shambulio la mtandao aina ya DDoS (Distributed Denial of Service), lakini…

Read More