Mchungaji Mackenzie ashtakiwa kwa mauaji Kenya – DW – 13.08.2024
Kiongozi wa kidini aliewahimiza waumini wake kufunga hadi kufa nchini Kenya ameshtakiwa kwa mauaji ya bila kukusudia jana Jumatatu, kutokana na vifo vya watu zaidi ya 400 katika mmoja ya mikasa mibaya zaidi ya kidini duniani. Waendesha mashtaka na maafisa wa mahakama wamesema Paul Mackenzie, aliejipa cheo cha uchungaji, alifikishwa mahakani mjini Mombasa pamoja na…