Kauli ya Samia kuhusu fidia ya ardhi yaibua wadau, Serikali yafafanua
Dar es Salaam. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwataka wananchi wanaoidai Serikali fidia baada ya kupitiwa na miradi kusubiri mpaka itakapokamilika, imewaibua mawakili na watetezi wa haki za binadamu wakisema kauli hiyo ni kinyume cha sheria na Katiba ya nchi. Wamesema suala la fidia lipo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano…