Lawi afunguka dili lake kukwama Ubelgiji
SAKATA la beki Lameck Lawi limeibua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa huenda mchezaji huyo akarudi nchini kutokana na dili lake na K.A.A Gent ya Ubelgiji kuingia mchanga huku mwenyewe akifunguka hali ilivyo. Ipo hivi; Lawi alikuwa anahitajika na timu hiyo kwa makubaliano ya kumnunua moja kwa moja lakini mara baada ya kufika Ubelgiji mambo…