DK.BITEKO AYATAKA MABENKI KUWAFUATA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wenye mabenki nchini kuwekeza zaidi kwa kuwafuta wakulima na wafugaji na kuwavutia kupata huduma za kibenki na kujiletea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo leo Agosti 12, 2024 wakati hafla ya uzinduzi wa tawi la Benki ya KCB wilayani Geita Amesema…