AFISA MTENDAJI MKUU WA TPL AFUNGUA SEMINA YA WARATIBU WA MICHEZO KWA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA 2024/2025 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Leo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Almasi Kasongo, ameongoza ufunguzi wa semina muhimu kwa waratibu wa michezo, inayofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Semina hii ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwaka 2024/2025. Katika semina hii, waratibu wa michezo watajadili…

Read More

Serikali kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamisi amesema Serikali itaendeleza kampeni za hamasa kwa jamii ili kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2030. Khamis ametoa rai hiyo Agosti 11, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati wa bonanza la…

Read More

Bodi ya Ligi haitaki watu wafurahi?

TANZANIA ni ya 131 duniani kwenye korodha ya nchi zenye furaha, kati ya nchi 143 zilizopo duniani. Kwa tafsiri rahisi, Tanzania ni ya 12 duniani kwa nchi zisizo na furaha…hatari sana! Na hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2024 ya taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mtandao wa Suluhisho la Maendeleo Endelevu (The…

Read More

Cheza sloti ya Book of Eskimo SHINDA mamilioni

  Maisha yako yapo mkononi mwako, ushindi wa kasino upo kiganjani mwako, cheza sloti ya Book of Eskimo inakupa urahisi wa kuishi kitajiri kwa dau dogo kabisa. Jisajili Meridiabet kuanzisha safari yako ya mafanikio. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakurejesha kwenye simulizi za mabingwa kuhusu juhudi zao za kushinda kirahisi, moja ya kitu kizuri kutoka…

Read More