Jeshi la Polisi lakanusha taarifa ya Polisi

Dar es Salaam. Sakata la kuzuiwa mikutano ya hadhara na ile ya ndani ya vyama vya siasa limechukua sura mpya, baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kukanusha zuio la Polisi Wilaya ya Mbagala, Mkoa wa Dar es Salaam. Kanusho hilo la Polisi Makao Makuu linatokana na taarifa ya Polisi Mbagala kwenda kwa chama cha ACT-Wazalendo…

Read More

Penzi la Fei na Yanga linakaribia mwisho wake

KAA katika televisheni yako halafu tazama namna penzi la waliloachana. Penzi la Fei Toto na Yanga linavyozidi kunoga. Wapenzi wawili wa zamani. Sasa hivi wanapitia katika kipindi kinachochekesha kidogo. Jana Fei alifunga bao la kuongoza la Azam dhidi ya Yanga. Mbele ya kamera za Azam TV akakata mauno ya furaha. Kwa alichokifanya Fei alikuwa anawakera…

Read More

Polisi: Hatujapiga marufuku mikutano ya hadhara

  JESHI la Polisi limesema halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 12 Agosti 2024 na Msemaji wa Jeshi hilo nchini, DCP – David Misime, killichopigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa Chadema…

Read More

Mwinyi Zahera ataka mechi 3 Namungo

KOCHA Mkuu wa Namungo, Mwinyi Zahera amesema timu yake ipo tayari kwa asilimia 80, atatumia mechi tatu za kwanza za Ligi Kuu Bara kutengeneza kikosi cha kwanza. Namungo wamecheza mechi tatu za kirafiki wakishinda mbili na kufungwa moja, walianza na Singida Black Stars walishinda mabao 2-0, walifungwa na Dodoma Jiji 3-0 na walishinda dhidi ya…

Read More

NMB kuwanoa wajasiriamali 700, kukabidhi Skuli Kizimkazi Festival 2024

  KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700 na kukabidhi Skuli ya Maandalizi ya Tasani, iliyopo Sheia ya Tasani, Makunduchi, Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kizimkazi Festival ni tamasha linalotumika…

Read More