H Money Atupa Jiwe ‘Tic Tik’ Akiwa na Reekado Banks

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital PRODYUZA wa muziki wa kimataifa Harmony Samuels a.k.a H Money, ameachia wimbo wake mpya uitwao  “Tic Tik” akiwa amemshirikisha  gwiji kutoka Nigeria, Reekado Banks. Katika wimbo huo wenye mikito ya Kinigeria, ladha tamu kutoka kwa H-Money akiungana na Reekado, unatengeneza burudani ya aina yake ya mtindo wa Afrobeats uliotayarishwa kwa umaridadi…

Read More

Upelelezi kesi ya aliyejitambilisha Profesa Kamugisha wa Muhimbili bado

Dar es Salaam. Uchunguzi bado unaendelea katika kesi ya kutakatisha fedha na kujipatia Sh7.3 milioni kwa udanganyifu inayomkabili mfanyabiashara Ibrahim Bigirwa (33) na wenzake wawili. Bigirwa na wenzake, wanakabiliwa na mashtaka 50, yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, kujipatia fedha kwa udanganyifu kutoka kwa watu mbalimbali. Bigirwa  pekee, anakabiliwa na mashtaka ya kujitambulisha kwa watu…

Read More

Matukio 10 Ngao ya Jamii 2024

FAINALI ya Ngao ya Jamii ilichezwa juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuifunga Azam mabao 4-1. Taji hilo ni la nane kwa Yanga katika Ngao ya Jamii tangu ilipoanzishwa michuano hiyo mwaka 2001, imezidiwa mawili na Simba ambayo inaongoza ikiwa nayo 10. Msimu…

Read More

UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI UPO 90% YA UTEKELEZAJI

Mwonekano wa Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) Kilometa 3.2 linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita kupita Ziwa Victoria na ujenzi wa barabara unganishi ya Kilometa 1.66 ambapo utekelezaji unaendelea na upo asilimia 90. Mradi huu unagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa shilingi Bilioni 716.3…

Read More

Dk. Kusiluka aanika mikakati ya vijana kushiriki uchumi kidijitali

  SERIKALI ya Tanzania imedhamiria kuhahakikisha Mkakati wa Uchumi wa Kidijiti Tanzania (2024-2034) unapotekelezwa vijana wengi wa Tanzania wanaingia kwenye mifumo ya kidijitali ili wawe sehemu ya uchumi wa dunia wa kidijitali ambao unajengwa sasa. Anaripoti Mwandishi wetu, Dodoma …(endelea). Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses Kusiluka jijini Dodoma wakati akifafanua kwa…

Read More

Serikali yatangaza ajira 224 kwenye taasisi 14, omba hapa

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza ajira 224 kutoka taasisi 14, zikiwemo za utafiti. Nafasi hizo za ajira zilizotangazwa jana Agosti 11, 2024  ni kutoka Taasisi za Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tafiri), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (Taliri), Wakala wa Maji Vijijini na Usafi wa…

Read More

Serikali yatangaza ajira 224 kwenye taasisi 14

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza ajira 224 kutoka taasisi 14, zikiwemo za utafiti. Nafasi hizo za ajira zilizotangazwa jana Agosti 11, 2024  ni kutoka Taasisi za Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tafiri), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (Taliri), Wakala wa Maji Vijijini na Usafi wa…

Read More