MBUZI WAWILI WAZIKWA KWA SANDA DODOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika tukio la kusikitisha lililotokea katika Kijiji cha Mwailanje, Kata ya Kimaha, Wilaya ya Chemba, mkoani Dodoma, mbuzi wawili (jike na dume) wamekutwa wamekufa na kufukiwa makaburini wakiwa wamevalishwa sanda, kitendo kinachofanana na mazishi ya binadamu. Tukio hili limezua taharuki kubwa miongoni mwa wakazi wa kijiji hicho. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa matendo hayo…

Read More

Mawakili kesi ya Kombo wa Chadema watakavyochuana leo

Dar es Salaam. Kesi ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, aliyepotea kwa mwezi mzima, baadaye kupandishwa kizimbani, Kombo Mbwana inatarajiwa kusikilizwa kuhusiana na hatima ya dhamana yake. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa leo Jumatatu, Agosti 12, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Tanga, Moses Maroa kuhusiana na zuio la…

Read More