NMB kumkabidhi Rais Samia shule, kuwanoa Wajasiriamali 700 Kizimkazi Festival

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB, ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700 na kukabidhi Skuli ya Maandalizi ya Tasani, iliyopo Sheia ya Tasani, Makunduchi, Zanzibar. Kizimkazi Festival ni tamasha linalotumika kuzindua miradi ya…

Read More

Usaajili uliokamilika Ligi Kuu Bara 2024/25

DIRISHA la usajili Ligi Kuu Bara na mashindano mengine ya ndani bado lipo wazi hadi Alhamisi ya wiki hii litakapofungwa tangu lilipofunguliwa rasmi Juni 15, huku klabu mbalimbali zikiendelea kuvuta silaha mpya na kuacha nyota waliokuwa nao ili kujiimarisha. Mwanaspoti linakuletea baadhi ya sajili za nyota wapya zilizokamilika na kutangazwa katika dirisha hili kubwa la…

Read More

Hii ya JKU kuchezea mechi zote Misri kuna namna

KUTOKANA na umuhimu wa mechi za mashindano ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)( na yale ya Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa), masuala ya ubora wa viwanja vinavyotumika yamepewa umuhimu mkubwa ili kila timu icheze katika mazingira yasiyo na faida kwa mwenyeji au mgeni. Ndio maana Uwanja wa Benjamin Mkapa umekuwa mwenyeji wa mechi…

Read More

WANANCHI WATAKIWA KUPANGA BAJETI – Mzalendo

Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro, akigawa vipeperushi vyenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba uwekezaji kwa baadhi ya wananchi wa Wilaya vya Ruangwa mkoani Lindi, waliojitokeza kupata elimu ya fedha. Na: Josephine Majula WF, Lindi   Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya…

Read More

TFF inavyoingiza fedha kupitia Dube, Mukwala

Agosti 16, 2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kwa msimu wa 2024-2025 ikishirikisha timu 16 kuwania ubingwa unaoshikiliwa na Yanga. Kabla ya kuanza kwa ligi, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho Soka Tanzania (TFF) ilikaa kikao Agosti Mosi, mwaka huu kujadili na kufanyia maamuzi maoni ya maboresho ya kanuni za ligi kwa ajili ya toleo…

Read More

Tanzania Prisons yatanguliza saluti Pamba

TANZANIA Prisons imesema pamoja na ubora na uzoefu ilionao kwenye Ligi Kuu, lakini haitawadharau wapinzani wao Pamba Jiji watakapokutana uwanjani Agosti 16. Timu hizo zinatarajia kufungua pazia ya Ligi Kuu katika mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, huku rekodi zikiibeba Prisons dhidi ya wenyeji hao waliopanda daraja msimu huu. Mara ya mwisho wapinzani hao…

Read More

Yaliyoikwamisha Mbeya Unity Ligi Kuu Netiboli

UGENI wa ligi na ukata vimetajwa kuwa sababu zilizoifanya Mbeya Unity Queens kutofanya vizuri katika Ligi Kuu ya Netiboli nchini, huku uongozi ukieleza mikakati ya msimu ujao. Mbeya Unity ilishiriki Ligi Kuu ya Netiboli kwa mara ya kwanza iliyofanyika jijini Arusha, ambako haikuwa na matokeo mazuri ikiishia hatua za awali huku ikiwa timu pekee iliyowakilisha…

Read More

Polisi watanda Ruanda Nzovwe kudhibiti maadhimisho ya Bavicha

Mbeya. Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Maadhimisho hayo yalikuwa yafanyike leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, lakini Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadh Juma Haji lilitangaza…

Read More

Hapa ndiyo lilipo anguko la Simba

Mchezo wa saba wa ngao ya jamii baina ya watani wa jadi wa Tanzania, Yanga na Simba, umeamuliwa na bao la dakika ya 43 la Mbappe wa Kindu, Maxi Nzengeli. Kama ilivyo kwa watani wa jadi, matukio ya imani za kishirikina hutawala kabla na wakati mwingine wakati wa mchezo, na kwenye mchezo huu yalikuwepo pia….

Read More