NMB Kumkabidhi Rais Samia Skuli, Kuwanoa Wajasiriamali 700 Kizimkazi Festival 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBARKAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB, ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700 na kukabidhi Skuli ya Maandalizi ya Tasani, iliyopo Sheia ya Tasani, Makunduchi, Zanzibar. Kizimkazi Festival ni tamasha linalotumika kuzindua miradi ya maendeleo…

Read More

Ziara ya Dkt Samia yavuna wapinzani Morogoro,abood awapokea

Ikiwa ni siku chache Mkuu wa Nchi Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya Ziara kubwa ya Siku 6 Mkoani Morogoro kukutana na Wananchi, kuzindua Miradi mikubwa ya Maendeleo ikiwemo ya Viwanda, Madaraja, Barabara, maabara mtambuka, Majengo ya Chuo Kikuu Mzumbe n.k, Wapinzani Morogoro Mjini wameshindwa kuvumilia na kuamua kuamia Chama cha Mapinduzi. Mbunge wa Jimbo la…

Read More

Mbowe atia mguu madai kina Lissu kukamatwa Mbeya

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amelitaka Jeshi la Polisi kuwaachia viongozi wakuu wa chama hicho wanaodaiwa kukamatwa mkoani Mbeya jana Jumapili Agosti 11, 2024. Mbowe amesema hayo jana usiku kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), ikiwa ni saa chache tangu Polisi ikataze kongamano la vijana wa chama hilo…

Read More