
Kituo cha Sheria Tanzania chazindua ripoti ya haki – DW – 29.08.2024
Pamoja na mambo mengine ripoti hiyo imeonesha kuwepo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za kazi, asilimia 51 ya watu wakiripoti kunyimwa fursa ya kufanya kazi, wengi wao wakiwa ni wanawake na watu wenye ulemavu. Ripoti hiyo ya haki za binadamu imemulika zaidi changamoto zinazoendelea katika maeneo ya kazi, mazingira na biashara. Kuvunjwa mikataba na kutopewa…