Fei Toto akumbatiana na Hersi
WAKATI kikosi cha Azam FC inakwenda kuchukua medali ya mshindi wa pili wa michuano ya Ngao ya Jamii, kama kuna tukio kilikuwa linasubiriwa basi ni kiungo Feisal Salum Fei Toto kuonana uso kwa uso na Rais wa Yanga injinia Hersi Said na wamekutana bana. Katika zoezi hilo la kupokea medali Fei Toto amekutana na Hersi…