Viongozi Chadema wamvaa Samia kamatakamata Bavicha

MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika wamemtaka Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kusitisha hatua zinazofanywa na Jeshi hilo kuzuia maadhimisho ya siku ya vijana duniani yanayoandaliwa na Baraza la Vijana Chadema (Bavicha). Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya ….(endelea). Maadhimisho hayo…

Read More

Simba yajipoza kwa Coastal, ikitembeza boli Kwa Mkapa

BAO pekee lililowekwa kimiani dakika ya 11 tu ya mchezo na kiungo mshambuliaji, Saleh Karabaka limeiwezesha Simba kumaliza nafasi ya tatu katika michuano ya Ngao ya Jamii, huku Kocha Fadlu Davids akipangua kikosi kilichopoteza mbele ya Yanga kwa kuwapumzisha nyota wanne na timu kutembeza boli la kisawasawa mbele ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union. Simba…

Read More

Waziri Chana: Andaeni majina ya watoto kabla ya kuzaliwa

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Pindi Chana amewataka wazazi kujenga utaratibu wa kuandaa majina ya watoto wao mapema kabla ya kuzaliwa ili kwa haraka waweze kusajiliwa na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa mara baada ya kuzaliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Dk. Chana ametoa wito huo mwa wiki Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya…

Read More

Kiungo Simba Queens atambulishwa Burundi

BAADA ya kupewa mkono wa kwaheri na Fountain Gate Princess siku nne zilizopita hatimaye kiungo wa zamani wa Simba, Joelle Bukuru amejumuishwa kwenye kikosi cha PVP Buyenzi ya Burundi. Simba Queens ilimtoa kwa mkopo wa miezi sita kiungo huyo kwenda Fountain katika dirisha dogo la usajili msimu uliopita baada ya kocha kutokuwa na mpango na…

Read More