Ziara ya Dk Nchimbi ilivyoibua kero ya vitambulisho vya Taifa Kagera
Kagera. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amehitimisha ziara yake ya siku sita katika Mkoa wa Kagera, huku kero kubwa aliyokutana nayo kwenye kila wilaya ni kutopatikana kwa vitambulisho vya Taifa vinavyotengenezwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida). Katika ziara hiyo iliyoanza Agosti 6, 2024, Dk Nchimbi aliambatana na wajumbe…