CRDB BANK MARATHON BURUNDI YAKUSANYA FARANGA MILIONI 117 – MWANAHARAKATI MZALENDO
CRDB Bank Marathon Burundi yafikia lengo la kukusanya Faranga za Burundi Milioni 117 kusambaza tabasamu kwa wahanga wa maafa ya mafuriko Burundi. Jeshi la Kusambaza Tabasamu (JLKT) kutoka Burundi katika mji wa Bujumbura siku ya leo limekamilisha misheni maalum ya CRDB Bank Marathon 2024 kwa kukusanya Faranga za Burundi Milioni…