Vijana elfu 45 kujikomboa kiuchumi KUPITIA ujasiriamali

Imeelezwa kuwa ukosefu wa ajira Kwa vijana ni chanzo Cha vijana wengi nchini kujiingiza katika vitendo vya kihalifu ikiwemo Wizi,utumiaji dawa za kulevya na magenge yasiyofaa na kupelekea wengine kuishia katika vifungo jela. Katika kukabiliana na changamoto hiyo ya ajira zaidi ya vijana elfu 40 kutoka Dar es Salaam,Morogoro na Zanzibar wanatarajia kunufaika na kujikomboa…

Read More

Wawili wapoteza maisha kwa kushambuliwa na fisi

Sengerema. Watu wawili wamepoteza maisha baada ya kushambuliwa na fisi saa tano usiku wa kuamkia leo Jumapili Agosti 11, 2024 katika Kitongoji cha Kabusuli, wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kabusuli, Halfan Shindile ameiambua Mwananchi Digital kuwa waliofariki dunia ni pamoja na Devid Thobias (42) mkazi wa Kijiji cha Kalumo na…

Read More

Binti wa Miaka 16 afanya maajabu Makubwa

# Apanga kugawa Taulo za kike kwa zaidi ya wanafunzi 10,000 Arusha Na Mwandishi Wetu, Arusha Binti wa miaka 16 Arjun Kaur Mittal Mtanzania anayesoma Dubai katika nchi za Jumuiya ya Kiarabu (UAE), anatarajia kugawa taulo za kike kwa wanafunzi wa Sekondari za Serikali Jijini Arusha. Arjun ambaye ameonyesha ujasiri na uwezo wa hali ya…

Read More

KONGAMANO LA BAVICHA: Kamatakamata yaendelea Mbeya

Mbeya. Maadhimisho ya vijana duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Vijana Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), huenda yakashindwa kufanyika kutokana na sintofahamu iliyojitokeza, ikiwamo baadhi ya makada wa chama hicho kukamatwa na Jeshi la Polisi. Maadhimisho hayo ambayo hufanywa na Bavicha kila ifikapo Agosti 12, mwaka huu yalitarajia kufanyika viwanja vya Ruanda Nzove jijini Mbeya….

Read More

Kriketi Tanzania U19 yafuzu Kombe la Dunia

TANZANIA imepanda daraja kwa kutinga fainali za Kombe la Dunia kwa mchezo wa Kriketi kwa vijana chini ya umri wa miaka 19 baada ya wikiendi hii kuifunga Rwanda kwa mikimbio 59 katika mchezo wa nusu fainali uliofanyika kwenye viwanja vya Dar Gymkhana, Dar es Salaam. Kwa kuingia fainali, Tanzania imejihakikishia moja kwa moja nafasi ya…

Read More

Watatu walivyombaka na kumlawiti mtoto wa darasa la sita

Moshi. Ni ushetani au ni changamoto ya afya ya akili? Hili ni swali linaloumiza wengi kwa sasa baada ya wanaume watatu wilayani Rombo, kumbaka mtoto anayesoma darasa la sita kwa miezi mitatu mfululizo wakipeana zamu kufanya ufedhuli huo. Lakini sheria imechukua mkondo wake, baada ya kushindwa kupangua adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela walichohukumiwa…

Read More

Rais Samia ataka falsafa ya 4R itumike sekta ya ushirika

*Aagiza maofisa ugani wapimwe kwa utendaji Na Nora Damian, Mtanzania Digital Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza maofisa ugani wapimwe kwa utendaji wao huku pia akitaka falsafa ya kujenga upya, maridhiano, ustahimilivu na mabadiliko (4R) itumike kukuza sekta ya ushirika nchini. Amesema mwelekeo wa serikali ni kujenga uchumi jumuishi unaochechea maendeleo vijijini na kuongeza kasi ya…

Read More

Aga Khan yasitisha huduma kwa wateja wa NHIF

Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umepokea taarifa kutoka Taasisi ya Aga Khan kuwa imekusudia kutoendelea na mkataba kati yake na mfuko huo,  kwa vituo 11 kati ya 24 kutokana na changamoto za kiuendeshaji kuanzia Agosti 14,2024. Miongoni mwa vituo vilivyositisha huduma kwa wateja wa NHIF ni pamoja na…

Read More