Fainali Ngao ya Jamii mtasema mlikujaje!, mabeki mtegoni
YANGA iko moto. Azam ndio usiseme. Makocha wote wamesisitiza kwamba mechi ya leo ni zaidi ya fainali na ni kipimo sahihi cha kukoki silaha zao tayari kwa msimu wa ndani na kimataifa. Lakini tathmini ya tambo za mashabiki wa timu hizo mitandaoni wanadai kwamba, hii ni mechi ya kibingwa itakayochezwa na wawakilishi wa Ligi ya…