Mahakama ya Rufani yabatilisha adhabu ya kifo kwa aliyemuua mkewe
Arusha. Mahakama ya Rufani, imebatilisha na kuweka kando adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyekuwa amehukumiwa, Matho Joshua baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mkewe, Muse Sospeter. Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kubaini dosari ya kisheria wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo ambapo Matho ambaye ni mpiga debe alihukumiwa adhabu hiyo na Mahakama…