Dk Nchimbi: Serikali ijenga makumbusho ya vita vya Kagera
Bukoba. Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ameielekeza Serikali kujenga makumbusho maalumu ya vita vya Kagera vilivyopiganwa kati ya majeshi ya Tanzania na vikosi vya Idd Amin wa Uganda. Lengo la kuwa na makumbusho hiyo, amesema ni kuhifadhi historia hiyo kwamba Tanzania iliwahi kupigana vita na adui yake na ikashinda. Pia, amesema lengo jingine…