Bao dhidi ya Simba lampa mzuka Nzengeli
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Nzengeli amesema timu yake ina wachezaji wengi wenye ubora huku akimtaja Pacome Zouzoua na kuweka wazi kuwa kuifunga Simba kumemjenga zaidi. Maxi alifunga bao pekee na la ushindi la Yanga wakati wakiiua Simba katika mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii na leo watarudi uwanjani kuumana na Azam katika…