
Serikali yaanza uchunguzi chanzo ajali ya treni iliyojeruhi abiria 70
Kigoma. Serikali imesema imeanza uchunguzi wa kubaini chanzo cha ajali ya treni iliyosababisha watu 70 kujeruhiwa. Awali, taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Jamila Mbarouk ilisema ajali hiyo ilitokea jana Jumatano Agosti 28, 2024 kati ya Stesheni ya Kazuramimba na Uvinza na watu 70 walijeruhiwa. Treni hiyo…