BAUSI: Kina Bacca, Fei Toto wametuheshimisha

KIWANGO cha beki Abdulrahim Seif Bausi, kiliifanya Simba iishie kukitamani kwa macho, baada ya JKT Tanzania kuiwahi huduma yake, ikimtoa Uhamiaji ya Zanzibar na katika mahojiano na Mwanaspoti amezungumzia hilo. Bausi anasema soka kwake siyo kitu cha kubahatisha, kwani baba yake mzazi Seif Bausi ni kocha wa timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, na…

Read More

Mahakama yatupa ombi la wosia wa mjane wa Mengi 

Arusha/Dar. Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shauri la maombi ya marejeo lililofunguliwa na mjane wa Reginald Mengi, Jacquiline Ntuyabaliwe na wanawe wawili, ambao wamekuwa wakipambana kutetea wosia unaodaiwa kuandikwa na Mengi ambao Mahakama Kuu iliubatilisha. Katika shauri hilo, Jacquiline na wanawe anaowasimamia, Jayden Kihoza Mengi na Ryan Saashisha Mengi walikuwa wanaiomba mahakama irejee na hatimaye…

Read More

Unavyoweza kukabiliana na mwenza anayechepuka

Kwa nini ujichukulie sheria mkononi unapogundua na kuthibitisha mumeo au mkeo anachepuka? Kuna njia za kufanya kukabiliana na changamoto ya mweza asiyemwaminifu. Swali hili linakuja kukiwa na mjadala kufuatia tukio la vijana watano waliombaka na kumlawiti binti mmoja kwa madai ya kupewa maelekezo ya kufanya hivyo na afande. Kulingana na sakata hilo, afande huyo ni…

Read More

Serikali yahamisha mali za Kiwanda cha Chai Mponde

Dodoma. Uwekezaji wa Sh4.05 bilioni utakaofanywa na Serikali katika Kiwanda cha Chai cha Mponde kilichopo mkoani Tanga, unatarajiwa kutoa soko kwa wakulima kwa kuchakata majani kilo milioni 5.8 kwa mwaka. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 9, 2024 na Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu wakati wa kusaini mkataba  wa wanahisa na mikataba ya uhamishaji wa mali…

Read More

VIKUNDI VYATAKIWA KUJISAJILI VIWEZE KUTAMBULIKA

Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Khalfan Kimaro, akiteta jambo na Wakazi wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Zaituni Salum (kushoto) na Bi. Husna Makong’o, baada ya kumalizika kwa semina ya utoaji elimu ya fedha wilayani humo mkoani Lindi ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo…

Read More

Shambulio la Israel kwenye shule ya Gaza lalaaniwa kimataifa – DW – 10.08.2024

Francesca Albanese, mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina amesema Israel inawaua Wapalestina kitongoji kimoja baada ya kingine, kwenye hospitali, shule, kambi za wakimbizi na hata kwenye maeneo yanayotajwa kuwa “salama”. Katika mtandao wake wa X (zamani Twitter), Albanese amesema Israel imekuwa ikifanya mashambulizi hayo…

Read More