Ukistaajabu ya Gen Z jiandae kuyaona ya Gen Alfa

Dar es Salaam. Ni bomu linalosubiriwa kulipuka, ndivyo inavyoelezwa kuhusu mwenendo wa vijana wa kizazi maarufu cha Gen Z, nchini Tanzania wakifahamika kwa jina la watoto wa 2000. Hata hivyo, kihalisia kundi hili linahusisha vijana waliozaliwa kati ya mwaka 1997 hadi 2012 ambao kwa mujibu wa Ripoti ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka…

Read More

Namungo yapiga hesabu za CAF

WACHEZAJI wa Namungo FC, wana matarajio makubwa kuhakikisha msimu ujao, wanapata nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa, hivyo wanajifua kupigania nafasi nne za juu. Msimu uliopita timu hiyo ilimaliza nafasi ya sita, ila baadhi ya wachezaji wapya walioongezeka ndani ya kikosi hicho, wameongeza nguvu ni kitu kinachowaamisha kitatimiza ndoto zao. Kiraka wa timu hiyo mkongwe…

Read More

Simbu, Geay wakosa medali, Tola akishinda kwa rekodi

WANARIADHA  Alphonce Simbu na Gabriel Geay wameshindwa kufurukuta katika mbio za Marathoni (Wanaume) katika Michezo ya Olimpiki inayoendelea, Paris Ufaransa huku Tamirati Tola wa Ethiopia akiibuka mshindi leo Jumamosi akiwema rekodi mpya wa michezo hiyo. Tola (32) aliibuka mshindi wa kwanza akitumia muda wa saa 2:06:26 ambao ulimtosha kumfanya avunje rekodi ya kukimbia muda mfupi…

Read More

Serikali: Hakuna kigugumizi uanzishaji baraza la vijana

Dodoma. Kongamano la vijana la siku mbili linaanza leo Agosti 10, 2024 jijini Dodoma, huku Serikali ikisema hakuna kigugumizi cha kuanzisha Baraza la Vijana isipokuwa ushirikishwaji wa wadau ndio unaendelea ili kutengeneza chombo madhubuti kitakachoshughulika na masuala ya vijana. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema…

Read More

Mtoto wa miaka saba adhalilishwa, auawa kwa kunyongwa

Rombo. Polisi Mkoa wa Kilimanjaro wanamshikilia mwanamume mkazi wa Kijiji cha Mahango wilayani Rombo, akituhumiwa kumfanyia matendo ya ukatili, udhalilishaji na kumuua kwa kumnyonga mtoto wa miaka saba, Amedeus Laurent. Mwili wa mtoto huyo ulifichwa kwenye shamba la migomba. Mama mzazi wa mtoto huyo alifika kituo cha Polisi Agosti 6, 2024 kutoa taarifa kuwa mtoto…

Read More

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA, PSSSF NA WCF WAINGIA UBIA KUMILIKI KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE

  Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9,2024 Jijini Dodoma. Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu, akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo Jijini Dodoma. – wakwanza kushotokwake, ni Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw….

Read More

Pilsner Lager’s New Campaign Kicks Off with a Roaring Celebration at the Benjamin Mkapa National Stadium

  Where were you last weekend if not at the National Stadium??? On a hot Saturday afternoon, Pilsner Lager, in partnership with Simba Sports Club launched a new campaign “Furahia Kila Ushindi na #PilsnerMbili”, meaning “Celebrate Every Win with #PilsnerMbili” This grand event at the Benjamin Mkapa National Stadium came alive with echoing cheers and…

Read More

Kongamano la kimataifa la Halal kufanyika Dar wiki ijayo

  KAMPUNI ya MICO International Halal Bureau Limited, imeandaa kongamano la biashara na wadau wa Hahal litakalofanyika siku ya Jumatano jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Mohamed Matano, alisema MICO ni kampuni pekee Tanzania ambayo inatoa ithibati ya Halal kwa wafanyabiashara na kampuni zinazotoa…

Read More