ZAIDI YA BILIONI 145.7 KUYAFIKISHA MAJI YA ZIWA VICTORIA SIKONGE, URAMBO NA KALIUA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Zaidi ya shilingi bilioni 145.7 zinatumika kutekeleza mradi wa maji kutoka Ziwa Viktoria kwenda katika Miji ya Sikonge, Urambo na Kaliua Mkoani Tabora. Mradi huo unategemewa kuwanufaisha wananchi zaidi ya 490,926 wa vijiji 60 . Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA) imepewa taarifa na Msimamizi wa mradi…

Read More

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA MAKAMPUNI YA UWAKALA WA MELI

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akutana na kuzungumza na Viongozi Makampuni ya Uwakala wa Meli ya Nyota Tanzania LTD (MAERSK Tanzania) na Sturrock Flex Shipping LTD jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yake ametumia fursa hiyo kuwaeleza kuhusu maboresho mbalimbali yanayofanywa na Serikali katika Miundombinu ya Bandari ikiwemo Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na…

Read More

RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KIONGOZI MKUU WA KAMATI YA UONGOZI YA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA YA KUSHUGHULIKIA AMANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Uongozi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya Kushughulikia Amani na Mfuko wa Maendeleo Bw. Earle Courtenay Rattray (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo…

Read More

Mke aomba mumewe atangazwe marehemu

Dar es Salaam. Katika matukio nadra kutokea, hili la Stela Ishengoma, kufungua maombi Mahakama Kuu, akiiomba itamke kuwa mumewe, Dawson Ishengoma ni marehemu baada ya kutomuona kwa miaka saba mfululizo ni mojawapo. Katika maombi hayo namba 71 ya mwaka 2023, Stella kupitia kwa wakili wake, Joseph Sungwa, alieleza kuwa mume wake huyo hajawahi kusikika au…

Read More