August 2024
NDEGE YAANGUKA NA KUUA WATU 61 – MWANAHARAKATI MZALENDO
NDEGE ya abiria ya Kampuni ya VoePass iliyokuwa imebeba abiria 57 na wahudumu wanne imeanguka huko Sao Paulo, Brazil na kupelekea vifo vya watu wote 61 waliokwemo kwenye ndege hiyo aina ya aina ya ATR-72. Ndege hiyo iliondoka Cascavel katika Jimbo la Parana Nchini Brazil ikielekea Sao Paulo ambapo ilipoteza…
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 10,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 10,2024 About the author
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam August 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2024 first appeared on Millard Ayo.
WANANANCHI WA DODOMA WAKOSHWA NA BANDA LA SERENGETI BREWERIES LIMITED NANENANE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Wananchi na wakazi wa Dodoma walipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye maonyesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo katika sekta ya kilimo na hasa kwenye kuwainua wakulima kiuchumi katika kununua mazao yao kama malighafi ya utengenezaji wa bia Wananchi…
Siri imefichuka… Kilichoipa Yanga ushindi chaanikwa
UMELIONA lile bao la Yanga lililowapa ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Simba? basi tambua kwamba zile ndio pasi nyingi pekee zilizopigwa mfululizo kwenye mchezo huo uliochezwa kwa dakika 71 badala ya 90. Yanga juzi, iliifunga Simba kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya pili ya Ngao ya jamii iliyopigwa Uwanja wa…
Haidrojeni kutoka kwa Viongezaji Upya au Mafuta ya Kisukuku? Swali la Panama – Masuala ya Ulimwenguni
Meli zinangoja zamu yao ya kuvuka Mfereji wa Panama kutoka Pasifiki hadi Bahari ya Atlantiki. Credit: Emilio Godoy / IPS na Emilio Godoy (panama) Ijumaa, Agosti 09, 2024 Inter Press Service PANAMA, Agosti 09 (IPS) – Mwaka 2021, Mfereji wa Panama ulikaribisha meli ya majaribio ya Ufaransa katika ziara ya dunia, Mwangalizi wa Nishatichombo cha…
MZUMBE KUENDELEA NA MAONESHO NANENANE – DODOMA
Chuo Kikuu Mzumbe kinaendelea kuwakaribisha wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Kati kutembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya Kilimo ya Kimataifa (Nanenane) 2024 yanayoendekea katika viwanja vya Nanenane, Nzuguni jijini Dodoma. Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Mzumbe, Bi. Lulu Mussa amesema licha ya maonesho hayo kufikia kilele chake…
Mawakala wa meli Tanzania wataja kero, Waziri atia neno
Dar es Salaam. Mawakala wa meli Tanzania wametaja kero tatu zinazowatatiza katika shughuli zao ikiwemo gharama kubwa ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara. Changamoto nyingine ni utozaji wa kodi kwenye meli kabla ya kutia nanga tofauti na utaratibu wa kimataifa unaoelekeza meli itozwe kodi baada ya kufunga kitendo ambacho kwao kinawatengenezea hasara. Kero…
Vyama vya siasa Mwanza vyaiomba INEC posho ya mawakala
Mwanza. Baadhi ya vyama vya siasa mkoani Mwanza, vimeiomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuangalia uwezekano wa kugharamia posho kwa ajili ya mawakala wa vyama hivyo, wakati wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Wakizungumza leo Ijumaa Agosti 9, 2024 kwenye mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu uboreshaji wa daftari hilo…