MATI SUPER BRANDS YADHAMINI MAONESHO YA TANZANITE MANYARA TRADE FAIR 2024
Na Mwandishi Wetu ,Manyara . Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara,Viwanda,Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30 mwaka 2024 mjini Babati Mkoani Manyara.Kwa Upande Wake Afisa Masoko Kampuni…