Mbinu mpya kudhibiti migogoro ya wakulima, wafugaji Tanzania
Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema teknolojia ya uzalishaji wa malisho aina ya Juncao iliyoanza kutumika nchini, ni suluhisho la kumaliza changamoto za malisho ya mifugo inayowakabili wafugaji kwa nyakati tofauti. Nyasi za Juncao zenye asili ya China zinaweza kutumiwa pia kuzalisha uyoga unaoweza kutumiwa pia kama chakula cha wanyama,…