Cheza kasino uwe milionea, Maya’s Treasure inalipa

  Bilas haka umewahi kuisikia hadithi ya Eldorado. Hadithi ambayo inatoka kwa Wahindi wa Amerika Kusini inasema kwamba Eldorado ni mkoa ambao una utajiri mwingi. Jisajili na Meridianbet kwa ushindi mkubwa. Meridianbet na Expanse wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni wa Maya’s Treasure. Unaelezea mtaalam wa akiolojia mchanga wa Kiingereza, mwenye akili na wa…

Read More

Hili hapa suluhisho migogoro ya ardhi Zanzibar

Unguja. Migogoro ya ardhi ya muda mrefu Zanzibar, huenda sasa ikapata suluhisho baada ya kuanzishwa mradi wa mfumo wa usimamizi na usajili wa ardhi (Laris). Zanzibar yenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 200,654, ardhi iliyopimwa ni asilimia 10 pekee. Kutokana na hali hiyo Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi imesaini mkataba wa…

Read More

Haya hapa yanayomsubiri Kylian Mbappe Hispania

MADRID HISPANIA: LA Liga inatarajiwa kuanza Agosti, huku mashabiki wa soka duniani wakisubiri kuona kile ambacho mastaa wapya waliosajiliwa na timu mbalimbali za ligi hiyo watakachofanya. Mmoja kati ya wachezaji ambao wanasubiriwa kwa hamu ni Kylian Mbappe ambaye amejiunga na Real Madrid kwa usajili huru baada ya kumaliza mkataba wake na PSG. Wakati mashabiki wakimsubiri…

Read More

Polisi yawataja wanne ‘waliotumwa na afande’

Dar es Salaam. Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kuhusika na tukio la kumbaka na kumlawiti binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Video za tukio hilo zilisambazwa Agosti 4, 2024 kwenye mitandao ya kijamii, zikionyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, kwa kile walichodai ametembea na mume…

Read More

MAYA’S TREASURE SLOTI YA USHINDI WA 95%

BILAS haka umewahi kuisikia hadithi ya Eldorado. Hadithi ambayo inatoka kwa Wahindi wa Amerika Kusini inasema kwamba Eldorado ni mkoa ambao una utajiri mwingi. Jisajili na Meridianbet kwa ushindi mkubwa. Meridianbet na Expanse wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni wa Maya’s Treasure. Unaelezea mtaalam wa akiolojia mchanga wa Kiingereza, mwenye akili na wa riadha…

Read More

Awesu, Kagoma waiponza Simba | Mwanaspoti

ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya waliosajiliwa na Simba, Awesu Awesu, Yusuf Kagoma na Valentino Mashaka umewaponza Wekundu wa Msimbazi na kuburuza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wachezaji hao kutoka KMC, Singida Fountain Gate na Geita Gold,…

Read More

WCB ILIVYOMUHOFIA RICH MAVOKO HADI KUMLAZIMISHA WAUNGANE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Producer maarufu Mazuu wa Mazuu Records amefunguka kuhusu changamoto kubwa alizokutana nazo wakati wa safari ya muziki ya msanii Rich Mavoko, akisisitiza kuwa licha ya mafanikio, kulikuwa na vikwazo vingi ambavyo vilihitaji uvumilivu na juhudi kubwa. Mazuu, akizungumza kwenye kipindi cha *Planet Bongo* cha East Africa Radio, alieleza kuwa moja ya nyimbo ambazo zilikutana na…

Read More