Wenye ulemavu Mirerani walia mwenzao kudaiwa kuchinjwa na mwenza wake

Mirerani. Walemavu wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamelalamikia kitendo cha mlemavu mwenzao Fatuma Saidi (28) kuuawa kwa kuchinjwa shingoni na mwanaume aliyekuwa anaishi naye. Mwenyekiti wa walemavu wilayani Simanjiro, Robert Matheus akizungumza na Mwananchi digital amesema anasikitishwa kwa tukio hilo la mauaji lililotokea leo Ijumaa saa moja asubuhi, Agosti 9, 2024…

Read More

TAMISEMI BINGWA WIZARA MTAMBUKA, NANENANE 2024

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeibuka mshindi wa kwanza katika Kundi la Wizara Mtambuka katika maonesho ya Kitaifa ya NANE NANE yaliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. Tuzo hii imetolewa katika zoezi la ufungaji na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia…

Read More

Petroli yashuka, dizeli ikipaa Zanzibar

Unguja. Bei ya petroli imeshuka, huku dizeli ikipanda kwa asilimia 6.02 kisiwani Zanzibar. Bei ya petroli imeshuka kutoka Sh3,085 kwa lita moja hadi Sh3,062 ikiwa ni tofauti ya Sh23 sawa na asilimia 0.75. Dizeli kwa Agosti itauzwa kwa Sh3,259 kutoka Sh3,074 ikiwa kuna tofauti ya Sh185 sawa na asilimia 6.02. Bei hizo zimeanza kutumika leo…

Read More

Wawili mbaroni kwa mauaji ya bodaboda

  JESHI la Polisi mkoa wa Katavi limewakamata watuhumiwa wawili wa mauaji ya dereva bodaboda ambaye anadaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali ubavu wa kushoto na mwili wake kutelekezwa barabarani kisha watuhumiwa kutokomea na pikipiki yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi … (endelea). Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, SACP-…

Read More

TANZANIA KUANDAA JUKWAA LA UNUNUZI WA UMMA AFRIKA MASHARIKI, RAIS SAMIA KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki, ambalo litafanyika kuanzia Septemba 9 hadi 12, 2024, jijini Arusha. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba, amethibitisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa…

Read More

Hatua kwa hatua kesi ya Magoma na Yanga

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Yanga kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo. Pia mahakama hiyo imetupilia mbali mwenendo mzima wa kesi hiyo ya madai namba 187/2022 na kuweka kando amri zote zilizotolewa katika katika hukumu iliyotolewa Agosti…

Read More