Ngoma ya Magoma na Yanga ilikuwa hivi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Yanga kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo. Pia mahakama hiyo imetupilia mbali mwenendo mzima wa kesi hiyo ya madai namba 187/2022 na kuweka kando amri zote zilizotolewa katika katika hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023. Kuhusu…