
Jay Melody kutoana jasho na Diamond, Alikiba TMA
Na Mwandishi Wetu Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) leo Agosti 29,2024 imetangaza wanaowania tuzo za muziki nchini, wakianza na vipengele vitatu ambavyo ni ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa mwaka,…