Dube bado haamini kilichotokea! | Mwanaspoti

BAADA ya kutoa asisti ya bao pekee katika derby Yanga na Simba Juzi mechi ya pili ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii, mshambuliaji mpya wa kikosi hicho Prince Dube amefunguka kuwa haamini kama hakutikisa nyavu mbele ya Wekundu hao. Dube ambaye alisajiliwa dirisha hili akitokea Azam FC, ni miongoni mwa washambuliaji wanaosifika kwa kuisumbua…

Read More

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTUMBUKIA KATIKA KISIMA CHA MAFUTA MJINI MOSHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki dunia leo, Agosti 9, 2024, wakati akifanya usafi katika kituo cha mafuta cha Uhuru Peak, mjini Moshi. Tarimo, ambaye alikuwa mfanyakazi katika kituo hicho, alipoteza maisha baada ya kutumbukia kwenye kisima cha mafuta wakati akijaribu kuokota simu iliyodondoka kutoka mfukoni mwake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana,…

Read More

TBL yashiriki maonyesho ya Nanenane kuwaunga mkono wakulima

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Kampuni ya bia TBL imejumuika na Watanzania kote nchini kuadhimisha Siku ya Wakulima, ambayo inaadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma. Hafla hii inatoa fursa ya kuonyesha mshikamano wa kampuni na wakulima ambao ni sehemu muhimu katika uzalishaji wa malighafi zinazotumika kutengeneza vinywaji vyenye mvinyo. Huu ni mwendelezo wa jitihada mbalimbali ambazo TBL imekuwa…

Read More

Je, dau la CHADEMA huko Tanzania linayumba? – DW – 09.08.2024

Mwanasiasa huyo amesema yuko tayari kuachana na chama hicho wakati wowote iwapo ataona kimeacha misingi iliyomsukuma kujiunga nacho. Lissu ambaye ni mwanasiasa mwenye udhubutu amesema chama hicho siyo mama yake akijaribu kunukuu kauli ambayo pia imewahi kutolewa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyekuwa akizungumzia ukaribu wake na chama tawala CCM baada ya kung’atuka katika…

Read More

Kiongozi wa waasi Kongo ahukumiwa kifo – DW – 09.08.2024

Nangaa na washtakiwa wengine 15 walishtakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita, kushiriki katika vuguvugu la uasi na uhaini. Jaji wa mahakama hiyo ya kijeshi ya Kinshasa Gombe Kanali Efomi Lonteyandjoko Jean-Robert, ndiye aliyetangaza hukumu hiyo dhidi ya washitakiwa Corneille Nangaa pamoja na wafuasi wake. Waendesha mashtaka kutofurahia faini Akizungumza na wanahabari baada ya wateja…

Read More

Mutale: Mambo matamu yanakuja | Mwanaspoti

WINGA wa Simba, Joshua Mutale amesema kicheko kwa mashabiki wa timu hiyo ni suala la muda, akiwapa ahadi yanayokuja mbele yao yanafurahisha, kwani wamejipanga kufanya makubwa msimu ujao. Mutale aliyesajiliwa na timu hiyo, akitokea Power Dynamos ya Zambia, alisema anafahamu mashabiki wameumia kufungwa na Yanga bao 1-0 nusu fainali ya Ngao ya Jamii, lakini amewaomba…

Read More

MKURUGENZI WA BENKI YA CRDB ATEMBELEA BANDA LA SERENGETI BREWERIES LIMITED – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela na maafisa waandamizi wa benki hiyo walipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika uzalishaji bia kupitia mazao wanayonunua kutoka kwa wakulima nchini.Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma SBL, John Wanyancha akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa…

Read More

Magoma akwama Kisutu, atakiwa kulipa gharama za kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Yanga kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo. Pia mahakama hiyo imetupilia mbali mwenendo mzima wa kesi hiyo ya madai namba 187/2022 na kuweka kando amri zote zilizotolewa katika katika hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023. Pia,…

Read More