MKURUGENZI MTENDAJI WA CRDB ATETA NA MAAFISA WA SERENGETI BREWERIES KATIKA MAONESHO YA NANE NANE DODOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, pamoja na maafisa waandamizi wa benki hiyo, walifanya ziara maalum katika banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma leo. Ziara hiyo ililenga kujionea na kujifunza zaidi kuhusu shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo katika uzalishaji wa bia, hasa kupitia mazao wanayonunua moja kwa…