Ukraine inaendeleza mashambulizi yake dhidi ya Urusi – DW – 09.08.2024
Mashambulizi ya Ukraine yaliyoanza siku ya Jumanne, katika eneo hilo la mpakani la Kursk lililoko Magharibi mwa taifa hilo, yanasemekana kuwa makubwa zaidi kuwahi kufanyika katika ardhi ya Urusi tangu Moscow ilipoivamia mwezi Februari mwaka 2002. Urusi inasema zaidi ya wanajeshi 1000 pamoja na darzeni mbili ya magari na vifaru vya kivita vya Ukraine, vilihusika…