CHANGAMOTO YA ARDHI NA TEMBO KARAGWE, ZATUA KWA NCHIMBI

-Azitolea maelekezo, -Amshukuru Waziri Mkuu kumuagiza Naibu Waziri haraka masuala ya NIDA Kagera Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amemuelekeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki kuifanyia kazi na kupata ufumbuzi wa changamoto ya wanyama waharibifu wanaovamia makazi ya watu, kuharibu mazao na kutishia uhai wa binadamu, Wilaya ya…

Read More

Simba yafafanua ishu ya jezi ya Manula

HATIMAYE uongozi wa Simba kupitia Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, imetoa ufafanuzi juu ya jezi namba 28 inayotumiwa na kipa Aishi Manula ambayo alitambulishwa nayo kipa mpya Moussa Camara kwenye orodha ya kikosi hicho kabla ya mechi dhidi ya Yanga iliyopigwa jana Alhamisi. Camara aliyesajiliwa hivi karibuni akitokea AC Horoya ya Guinea,…

Read More

MIKAKATI ZAIDI YATAJWA KAMPENI YA MAMA SAMIA

    Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Pindi Chana akizungumza na wananchi kwenye banda la kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia kwenye maonesho ya nanenane viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Pindi Chana ametaja mikakati mbalimbali ya kufikisha huduma za kisheria…

Read More

Wagombea uenyekiti AU watajwa, Makamba hayumo

  Mataifa ya Kenya, Djibouti, Madagascar na Mauritius yamewasilisha rasmi majina ya watu wanaopendekezwa kuwania uwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) huku jina la January Makamba likiwekwa kando. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Umoja wa Afrika umechapisha majina ya watu wanne wanaowania nafasi hiyo akiwemo Mahamoud Ali Youssouf kutoka Djibouti, Raila Odinga…

Read More

Abdi aongoza maandamano kuelekea kijana na kijani

Leo hii yamefanyika matembezi yakiokatiza kona na Barabara za Zanzibar yakianzia Ofisi ya Ccm Mkoa wa Mjini na Kuelekea Ofisi za Makao makuu ya Umoja wa Vijana Ccm Zanzibar ambapo Vijana wa Ccm wakiongozwa na Naibu Katiku Mkuu Ccm Zanzibar Abdi Mahamoud Abdi walitembea wakiwa wa wananchi na Vijana wa Ccm Zanzibar Matembezi hayo ni…

Read More

Ruto aapisha mawaziri 19, nusu ni mawakili

  RAIS wa Kenya, William Ruto leo Alhamisi amewaapisha mawaziri 19 aliowateua hivi karibuni huku zaidi ya nusu yao wakitajwa kuwa ni mawakili. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kati ya mawaziri walioapishwa, wanane wana Shahada za Uzamili na Sheria. Mwanasheria Mkuu aliyeteuliwa Dorcas Oduor na Katibu wa Baraza la Mawaziri, Mercy Wanjau pia ni…

Read More

Simulizi ya wanawake jasiri waliojitosa kubeba zege

Dar es Salaam. Wanawake watatu jasiri wametoa simulizi ya maisha yao katika sekta ya ujenzi, kazi ambayo kwa kawaida hufanywa na wanaume. Kina mama hao wakazi wa wilayani Ludewa mkaoni Njombe, wamechagua njia ya maisha inayohitaji nguvu na ujasiri wa hali ya juu. Wamekuwa wakihama kutoka mkoa mmoja hadi mwingine nchini Tanzania, wakifanya kazi za…

Read More