Simba kama imebipu namba 28 ya Manula

MABOSI wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba ni kama jana Alhamisi ilibifu juu ya namba 28 ya kipa Aishi Manula baada ya kumtambulishia kipa mpya wa timu hiyo, Moussa Camara kabla ya pambano la Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kisha kubadilisha fasta na kumpa Mguinea huyo namba 26. Katika orodha ya kikosi…

Read More

HIVI NI KWENDA NA WAKATI AU KUHARIBIKIWA NA WAKATI? – MWANAHARAKATI MZALENDO

Maendeleo ya sayansi na teknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika jamii, ambapo mambo mengi yameimarika, mengine yameporomoka, na mengine yamepoteza kabisa maana yake ya awali. Swali linalojitokeza ni, je, haya mabadiliko yanaashiria kwenda na wakati au ni kuharibikiwa na wakati? Maendeleo haya yamegusa karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Baadhi ya mambo yameimarika na kuboreshwa,…

Read More

Tulieni, sasa ni zamu ya Pamba Day!

BAADA ya wikendi iliyopita nchi kuwa bize kwa matamasha ya Simba, Yanga jijini Dar es Salaam na Azam Kigali, Rwanda, kesho ni zamu ya Jiji la Mwanza na litapokea wageni mbalimbali kwa ajili ya tamasha la klabu ya Pamba Jiji itakayokuwa inahitimisha kilele cha tamasha la Pamba Day. Tamasha hilo litafanyika kesho kwenye Uwanja wa…

Read More