Wezi walioniibia warejesha vitu wakilia kilio cha ajabu!

Vijana katika kutafuta maisha tunapitia mambo mengi sana, hadi unaona mtu anafanikiwa kimaisha sio jambo rahisi, unapaswa kumpongeza maana amepitia mambo mengi sana. Jina langu ni Alen kutokea Dar es Salaam, nimeajiriwa katika kampuni ya Ulinzi, ni kazi ambayo ina changamoto sana lakini nashukuru ndio hasa inaendesha maisha yangu hadi kuniondoa katika maisha ya umasikini….

Read More

Profile yaanza kibabe Kikapu Mwanza

BAADA ya kuukosa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza msimu uliopita, Profile imekuja kivingine msimu huu baada ya kuanza kwa ushindi dhidi ya bingwa mtetezi, Eagles na kulipa kisasi cha kufungwa kwenye fainali ya msimu uliopita. Profile ambayo ni mabingwa wa kihistoria wa mashindano hayo wakichukua kwa zaidi ya misimu mitano, walianza kwa…

Read More

JUHUDI ZA KIDIPLOMASIA ZASHIKA KASI BAADA YA KUUAWA KWA KIONGOZI WA HAMASI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Marekani, Misri, na Qatar zimeungana katika juhudi za kidiplomasia ili kuzuia mivutano ya kikanda kuzidi kuwa mbaya baada ya kuuawa kwa kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh. Mataifa hayo matatu yamependekeza kuanzisha tena mazungumzo kati ya Israel na Hamas kuhusu kusitisha mapigano na kuachiliwa kwa mateka. Kupitia taarifa ya pamoja, Marekani, Misri, na Qatar zilisema zimeandaa…

Read More

SI MCHEZO… Ngoma zao zinatembea

BONGO Fleva inazidi kuchacha mbuga.Sio kwenye soko la ndani tu,m hadi kimataifa na tofauti ya miaka ya nyuma ilikuwa wimbo kutoka nje ya mipaka ya nchi, huwa ni jambo la kushangaza na litazungumzwa kila siku. Hata hivyo, miaka ya karibuni imekuwa ni kawaida na wasanii wa Bongo Fleva wameliteka soko la muziki duniani na kuanzia…

Read More

NIONAVYO: Riadha yetu inahitaji kazi ya ziada

WIKIENDI iliyopita Jumamosi na Jumapili, Jiji la Dar es Salaam na nchi kwa jumla kulikuwa na shamrashamra na mashamushamu kutokana na matamasha mawili makubwa ya klabu maarufu za Simba na Yanga. Matamasha hayo yalijaza uwanja likiwamo la Yanga ambalo mashabiki walilazimika kutumia Uwanja wa Uhuru baada ya ule wa Benjamin Mkapa kujaa. Kulikuwa na matukio…

Read More

Kete ya Mwisho ya medali kwa Tanzania Olimpiki 2024

Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu. Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji wengine wa dunia huku ‘dada’ zao,…

Read More