YANGA UDUGU UMALA, HAOOOO FAINALI NGAO YA JAMII – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Bao pekee la Yanga katika mchezo huo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii uliopita uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, limefungwa na Kiungo mshambuliaji, Maxi…