INEC kukutana na wadau wa uchaguzi Mwanza,Shinyanga

 Na Mwandishi Wetu, Mwanza Wadau wa uchaguzi kutoka mikoa ya Mwanza na Shinyanga kesho watakutana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuzungumzia Uboreshaji wa Darftari la Kudumu la Mpiga Kura katika mikoa yao wakati wa mzunguko wa tatu wa uboreshaji. Akizungumzia maandalizi ya Mkutano huo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya…

Read More

Dabo apotezea ushindi, aelekeza nguvu fainali

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema licha ya timu hiyo kupata ushindi mnono wa mabao 5-2, dhidi ya Coastal Union ila amesahau matokeo hayo, na nguvu kwa sasa anazielekeza mechi ya fainali Jumapili. Kauli ya Dabo inajiri baada ya timu hiyo kutinga fainali ya Ngao ya Jamii na sasa inasubiri mshindi kati ya…

Read More

Ouma aingiwa na ubaridi,  aomba muda zaidi Coastal

KOCHA Mkuu wa Coastal Union Mkenya, David Ouma amesema kichapo cha mabao 5-2, ambacho timu hiyo imekipata dhidi ya Azam FC hakijawatoa katika mstari huku akiweka wazi anahitaji muda zaidi wa kutengeneza timu imara. Ouma amekumbana na kichapo hicho katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii, iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex…

Read More

Elimu ya Watoto ya Gaza, Afya ya Akili Inayolengwa na Ruzuku ya Dharura – Masuala ya Ulimwenguni

Education Cannot Wait inatangaza Ruzuku ya Kwanza ya Dharura ya USD 2 milioni huko Gaza. Mkopo: ECW na Mwandishi wa IPS (johannesburg) Alhamisi, Agosti 08, 2024 Inter Press Service JOHANNESBURG, Agosti 08 (IPS) – Tangu Oktoba 2023, watoto 625,000 walioandikishwa katika shule kote Gaza hawajapata elimu, na zaidi ya shule 370 zimepata uharibifu kutokana na…

Read More

Bangladesh imejipatia uhuru kwa mara ya pili – DW – 08.08.2024

Kauli yake ya kwanza aliyoitoa baada ya kuwasili Bangladesh akitokea mjini Paris Ufaransa, Yunus, amewaambia waandishi wa habari kwamba, kipaumbele chake ni kurejesha hali ya utulivu. Akiandamana na baadhi ya viongozi wa wanafunzi walioongoza maandamano dhidi ya serikali iliopita, Yunus amesema Bangladesh ni familia moja na lazima wananchi waungane na kuwa kitu kimoja. Kiongozi huyo…

Read More

SMZ yajibu hoja za ACT-Wazalendo ujenzi Uwanja wa Ndege Pemba

Unguja.  Wakati Chama cha ACT-Wazalendo kikirusha shutuma kwa Serikali kuhusu ubadhirifu wa miradi ya barabara na ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pemba, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi imejibu tuhuma hizo ikisema wanaotoa taarifa hizo wana lengo la kuichonganisha Serikali na wananchi. Kwa nyakati tofauti katika mikutano ya hadhara inayofanywa na chama…

Read More

Gamondi, Fadlu wajilipua  | Mwanaspoti

MAKOCHA wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wameamua kujilipua kwa kupanga vikosi vyenye wachezaji wenye sifa za kushambulia zaidi katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii unaochezwa  usiku huu wa leo Alhamisi kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa. Kama ambavyo walisema siku moja kabla (Jumatano) katika mkutano wa wanahabari, kila mmoja…

Read More

TMDA yaonya matumizi ya Vega kuongeza nguvu za kiume

Lindi. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) Kanda ya Kusini, imetoa onyo kali kuhusu matumizi ya dawa ijulikanalo kwa jina la Vega, inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume. TMDA imesema dawa hiyo ambayo matumizi yake yanaongezeka haijasajiliwa nchini na inaweza kusababisha madhara kwa watumiaji. Akizungumza na Mwananchi leo Agosti 8, 2024, kwenye maonyesho ya…

Read More