Camara aanza na jezi ya Manula Kwa Mkapa

KOCHA Miguel Gamondi ameanza na kikosi chenye sura tatu mpya tofauti, huku kocha wa Simba Fadlu Davids akiwa na nyota sita kati ya 13 waliosajiliwa hivi karibuni, lakini sapraizi ni kipa Moussa Camara akikadhibiwa jezi namba 28 iliyokuwa ikitumiwa na kipa namba moja wa timu hiyo Aishi Manula. Manula aliyesahaulika katika utambulisho wa kikosi hicho…

Read More

WHO yatoa onyo virusi vipya homa ya nyani

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema virusi vya clades 1 vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya nyani) vinavyosambaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) vimejibadilisha na kuibuka vingine vya clade 1b ambavyo husababisha ugonjwa mkali zaidi. WHO imesema kwa miaka mingi clade 1 vimekuwa vikisambaa nchini DRC, huku clade 2 vilisababisha…

Read More

Wanaougua kifafa walia na unyanyapaa, huduma

Dar es Salaam. Unyanyapaa, dawa, huduma, ajira na kipaumbele ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili wanaougua ugonjwa wa kifafa. Pia, ukatili, kukosa msaada, ajira, masomo, kuvunjika kwa ndoa imeendelea kuwa mwiba kwao kutokana na hali waliyonayo ya kuanguka bila kutarajia. Hayo yote wameyaeleza leo Alhamisi Agosti 8, 2024 kwenye kikao kilichoandaliwa na Taasisi ya Wazazi wa…

Read More

Visura 13 kuwania taji la Miss Ilala 2024

WAREMBO 13 wanatarajiwa kuonyeshana kazi wakati wa shindano la kuwania taji la Miss Ilala 2024, litakalofanyika Agosti 16 kwenye Ukumbi wa Warehouse, Masaki huku wakipania kufanya vizuri na kufuata nyayo za watangulizi wao katika fainali za taifa, Miss Tanzania. Tayari warembo hao wameingia kambini, kujiandaa na shindano hilo, huku washindi, pamoja na zawadi nyingine wataingia…

Read More

Kipanya amburuza Mwijaku kortini, kudai fidia ya Sh 5.5 bilioni

Dar es Salaam. Mchora katuni maarufu na mtangazaji wa Clouds Media Group nchini Tanzania, Ally Masoud maarufu Masoud Kipanya, amemfungulia kesi Mtangazaji wa Crown Media Ltd, Burton Mwemba Mwijaku, akidai fidia ya Sh5.5 bilioni kwa kumkashifu na kumshushia hadhi na heshima yake kupitia maandishi aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii. Masoud amefungua kesi hiyo Mahakama Kuu…

Read More