
NMB YAKABIDHI VIFAA MADAWATI NA VIFAATIBA KILOSA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Benki ya NMB imekuwa mdau mkubwa kwa serikali katika kuchangia huduma za kimaendeleo hasa katika sekta ya elimu, afya na majanga yanapojitokeza ikiwemo kutoa vifaatiba, madawati, viti na meza lakini kumalizia ujenzi kwa kutoa vifaa mabati, mbao, misumari. Benki ya NMB imekabidhi vifaatiba katika kituo cha afya Kimamba Pamoja na madawati, viti na meza vyenye…