Dk Nchimbi atoa maagizo kwa Serikali, amwita naibu waziri

Kyerwa. Kufuatia kupaa kwa bei ya Kahawa mkoani Kagera, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameipongeza Serikali kwa kusimamia jambo hilo kwa maslahi ya wakulima mkoani humo huku akiitaka iendelee kusimamia ili isishuke. Dk Nchimbi ametoa pongezi hizo wakati wa mkutano wake uliofanyika leo Alhamisi Agosti 8, 2024 katika Wilaya ya…

Read More

Huku nako pamechangamka! | Mwanaspoti

ACHANA na Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana. Sahau kuhusu Simba Day na Wiki ya Mwananchi matamasha yaliyofanyika wikiendi iliyopita. Kesho na kweshokutwa huko mkoani nako kuna burudani ya kukata na shoka wakati klabu nne tofauti za Ligi Kuu zitakapofanya matamasha ya kuukaribisha msimu mpya wa 2024-2025. Mashabiki wa soka wa mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza…

Read More

CFAO MOBILITY INTRODUCES RELIABLE TRANSPORT SOLUTIONS AT NANENANE EXPO TO BOOST AGRIBUSINESS IN TANZANIA

CFAO Mobility Tanzania, the authorized dealer of brand-new Fuso vehicles, is participating in the 2024 Nane Nane International Agricultural Expo in Dodoma. The event, running from August 1st to 10th, aims to promote the agriculture sector, which is one of the major and significant contributors to Tanzania’s economy after industry and service sectors in ascending…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Ahmed Ally atamponza Steven Mukwala

USAJILI wa mshambuliaji aliyefanya vizuri sana kule Ghana katika Ligi Kuu ya nchi hiyo, Steven Mukwala ulishereheshwa vilivyo na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally. Mshambuliaji huyo hakuwa mwingine bali ni raia wa Uganda,  Mukwala na msimu uliopita alifunga mabao 14 katika mechi 28 za Asante Kotoko katika Ligi Kuu ya Ghana, huku…

Read More

Washindi wa Picha za Jumuiya ya Pasifiki Waleta Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwenye Maisha – Masuala ya Ulimwenguni

Wanaoishi kwenye hekta 37 za ardhi, watu wa Anuta katika Visiwa vya Solomon wanategemea kabisa rasilimali zao za baharini kuishi. Ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, wao hujenga kuta za bahari zinazozuia mawimbi yanayoingia wakati wa vimbunga au mafuriko makubwa, kulinda nyumba zao na mitumbwi ya uvuvi, ambayo ni mali muhimu zaidi kwenye…

Read More

Kagera Sugar nne zinawatosha Uganda

KIKOSI cha Kagera Sugar kimeondoka leo Alhamisi kutoka Bukoba kwenda Uganda kunoa makali ya wachezaji wake kwa kucheza mechi nne za kirafiki ili kujipima nguvu kabla ya kurudi nchini kwa ajili ya kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya Kombe la Shirikisho 2024-2025. Kagera iliyokuwa kambini tangu Julai 12 kwa ajili ya…

Read More

Cheza na ushinde mamilioni ya Expanse

Expanse na Meridianbet ni mapacha kwa sasa unawezakuvuna Mamilioni kwa kucheza michezo ya kasino kutokaExpanse. Jisajili na Meridianbet kufurahia promoshenikibao Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutokaExpanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemobonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino naSloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea. Washindi wap[atao 40 watanufaika na bonasi…

Read More