Mcolombia, Fei Toto waachiwa msala Azam FC

MSHAMBULIAJI mpya wa Azam FC, Mcolombia Jhonier Alfonso Blanco amepewa mikoba ya kikiongoza kikosi hicho akishirikiana na Feisal Salu ‘Fei Toto’ katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Nyota huyo ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho ambacho kilimsajili kutoka Rionegro…

Read More

Yunus arejea Bangladesh kuongoza serikali ya mpito

  MSHINDI wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Muhammad Yunus amerejea nyumbani Bangladesh leo Alhamisi kuiongoza serikali ya mpito ya taifa hilo la Asia. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endele). Hatua hiyo imekuja baada ya maandamano yaliyoongozwa na wanafunzi kuhitimisha utawala wa miaka 15 wa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina. Yunus, mwenye umri wa miaka 84,…

Read More

Uagizaji gesi ya Urusi nchini Ufaransa waongezeka maradufu – DW – 08.08.2024

Takwimu hizo ni kulingana na tathmini mpya ya data za biashara, katika wakati ambapo Ulaya imejaribu kujiondoa kwenye manunuzi ya nishati yanayofadhili vita vya Urusi nchini Ukraine. Ulaya imezuwia uagizaji wa mafuta kutoka Urusi, lakini gesi asili bado inaruhusiwa.  Serikali za Ulaya zimesema marufuku kamili dhidi ya uagizaji wa gesi ya Urusi inaweza kupelekea gharama za nishati…

Read More

Mhilu ana kitu anakitafuta huku

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba na Yanga, Yusuph Mhilu amesema kuamua kwake kucheza Ligi ya Championship kuna maana kubwa kwani anakwenda kupata changamoto mpya na kujifunza vitu vipya katika ligi hiyo, akiwa na Geita Gold aliyoshuka nayo daraja. Mhilu alisema hajawahi kucheza ligi hiyo, hivyo anajipanga kuhakikisha atakapoanza majukumu anafanya kazi ya kuisaidia timu hiyo…

Read More

Mingange atoa masharti Chama la Wana

BAADA ya kusini mkataba wa mwaka mmoja kufundisha Stand United ya Shinyanga kwa msimu ujao wa Ligi ya Championship, Meja Mstaafu Abdul Mingange amesema uongozi, benchi la ufundi na kamati ya usajili wanapaswa kuzungumza lugha moja katika usajili wa timu hiyo ili kupata kikosi kitakachofanya vizuri. Mingange aliyeipandisha Mashujaa Ligi Kuu mwaka 2022, akitamba na…

Read More