KASEKENYA AIPONGEZA TANROADS KWA VIFAA VYA KISASA VINAVYOTUMIKA KWENYE UJENZI WA BARABARA
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya,akitoa maelezo mara baada yakukagua gari alipotembelea banda la TANROADS kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Na Alex Sonna-DODOMANAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya,amewataka wanaopewa dhamana ya kujenga miundombinu ya barabara kuzingatia ubora na thamani ya fedha. Mha. Kasekenya, alisema hayo tarehe 8…