N-Card bado kitendawili Zanzibar | Mwanaspoti
WAKATI homa ya pambano la nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Azam na Coastal Union likipamba moto, mashabiki wa soka visiwani Zanzibar bado wamekuwa na uelewa hasi juu ya matumizi ya kadi za kuingilia uwanjani N-Card. Timu hizo zinakutana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar kuanzia saa 10:00 jioni, kusaka tiketi…