Mwili wa Mchungaji Kantate kuagwa leo, mazishi Old Moshi

Hai. Mwili wa Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kimashuku, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Kantate Munis (42) aliyefariki dunia kwa ajali ya gari utaagwa leo Alhamisi, Agosti 8, 2024 katika Kanisa la Ebenezer alilokuwa akihudumu. Mbali na Kantate, mwingine aliyefariki  dunia kwenye ajali hiyo iliyotokea Jumapili Agosti 4,…

Read More

Dabi yazitibulia Azam , Coastal Union Zenji

MASHABIKI mbalimbali wa soka visiwani Zanzibar, wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya mchezo wa Azam na Coastal Union kuwekwa siku moja na Dabi ya Kariakoo ya watani wa jadi Yanga na Simba. Azam FC inakutana na Coastal Union katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii itakayopigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa New…

Read More

MASOUD KIPANYA JINO KWA JINO NA MWIJAKU MAHAKAMANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Ally Masoud Nyomwa, maarufu kama Masoud Kipanya, mchoraji wa katuni na mtangazaji maarufu nchini Tanzania, amefungua kesi ya kashfa dhidi ya Burton Mwemba, anayejulikana kama Mwijaku. Kipanya anamtuhumu Mwijaku kwa kumshushia hadhi na heshima kupitia maandishi yaliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Kesi hiyo, iliyosajiliwa Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam) tarehe…

Read More

Siri ya ubilionea wa matajiri wakubwa duniani

Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa duniani kuna mabilionea wa Dola za Marekani (wenye ukwasi unaozidi Sh2.7 trilioni) takribani 3,200. Kati ya hao, zaidi ya 1,000 wanatokea Amerika ya Kaskazini, zaidi ya 900 wanatokea Ulaya, Asia wana zaidi ya 800, huku Afrika ikiwa nao chini ya 50. Katika kila bara duniani, kuna mtu mmoja ambaye ni tajiri…

Read More

WAKENYA WAANDAMANA KUPINGA SERIKALI YA RAIS RUTO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Leo, Wakenya katika maeneo kadhaa nchini wamejitokeza kwa ajili ya “Maandamano ya Nane Nane,” yaliyoandaliwa kupinga utawala wa Rais William Ruto. Waandamanaji wanadai kuwa serikali ya Ruto imekosa kutimiza ahadi zake na wanamtaka ajiuzulu. Huku maandamano hayo yakiendelea, Rais Ruto amewataka Wakenya kuyakataa akisema yanaweza kusababisha machafuko nchini. Aliwataka wananchi kudumisha amani na kutafuta njia…

Read More